NAPENDA KUWAKARIBISHA WANAMAPAMBANO WOTE WALIO MSTARI WA MBELE KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA HAKI ZA BINADAMU KWA WATU WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI TANZANIA NA DUNIANI KWA UJUMLA KUTOA MAONI NA NJIA MBALI MBALI YA KUHAKIKISHA JAMII INAELEWA JUU YA UNYANYAPAA,
Karibu kaka Michuzi, Ndesanjo, Mwaipaja, Mjengwa na wanakijiji wote.
Nawapenda wote wenye virusi na wasio na virusi.
No comments:
Post a Comment