Picha hii inamuonyesha mama huyu anaeishi na virusi vya ukimwi akiomba mungu.Jamani ndugu zangu tuwatie moyo watu hawa na tuwajali waone kuwa nao ni watu kati ya watu.Siku zote nasema tusiwatenge wala kuwanyanyapaa.
Asanteni sana.
Post a Comment
No comments:
Post a Comment