Monday, December 31, 2007

KWANINI WAKINA MAMA????????????????????

Kwapamoja tuwasaidieni wakinamama hawa wenye kuwa na wakati mgumu baada ya kuwa wameambukizwa UKIMWI.Tusiwatenge wala kuwanyanyapaa.

KWA PAMOJA TUSAIDIANE KUONDOA UNYANYAPAA NA KUWATENGA WENYE UKIMWI

No comments: