Saturday, December 29, 2007

MJADALA.

Ndugu zangu watanzania wakati umefika sasa wa kuhakikisha tuna linda haki za watu waishio na virusi vya ukimwi. Kuhimiza watu kupima bila kuhimiza keheshimu HAKI ZA BINADAMU ni kosa kubwa tufanyalo na ili kupambana na haki na ugonjwa huu ni lazima tulinde na kuheshimu haki za binadamu

Kama tunakubaliana juu ya hoja yangu hii sasa wakati umefika wa kutunga sheria ya kuwalinda watu hawa na kusimamia maazimio ya umoja wa mataifa juu ya kudhibiti ukimwi.

Naomba tujadili juu ya sheria hii na tutoe maoni ni vitu gani viwekwe ndani ya sheria hii ili ikidhi haja za kuwalinda watu waishio na ukimwi.

No comments: