
HAPA MAANDAMANO NDIPO YALIPOANZIA KUELEKEA UKUMBI WA MKAPA MJNI MBEYA

WANAFUNZ HAWA WA SANGU SECONDARY PIA WALIKUWEPO KATIKA WARSHA HII YA UWASHAJI MISHUMAA

MAANDAMANO KUELEKEA UKUMBINI NA HAWA NI VIJANA WA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA MBEYA

MDAU NIKIFUATILIA KWA KARIBU KABISA MAANDAMANO HAYA MUHIMU

BAROZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA AKIPOKEA MAANDAMANO HAYO YA VIJANA WALIOMSITARI WA MBELE KUPINGA UNYANYAPAA KWA WENYE UKIMWI
No comments:
Post a Comment