1. Je ni muhimu mtu kuwa na maandishi yanayothibitisha nia ya kutaka kupima HIV?
2. Je hospitali inaweza kumpima mtu bila hiari yake?
3. Je hospitali ikiandika kwamba inawapima wagonjwa wake UKIMWI inamaanisha wagonjwa wake wote watakaotembelea pale wamehiari kupima?
4. Je dokta anatakiwa kufanya siri ya majibu ya mgonjwa kwa staff(nurses)?
No comments:
Post a Comment