UFADHILI
Tacaids
kuacha kuwategemea wafadhili: TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi
(TACAIDS ) inakusudia kuanzisha mfuko maalumu kwa ajili ya kuhudumia
afya mbalimbali za Ukimwi ili kuondokana na utegemezi wa fedha za
wafadhili na wahisani kutoka nje kwa ajili ya kuhudumia jambo hilo.
No comments:
Post a Comment