Monday, November 19, 2007

MBONA WAPENDANAO HAWA WANAISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI LAKINI WANAFURAHAKWENYE NYUSO ZAO?KUMBE INAWEZEKANA KUISHI KWA AMANI NA UPENDO BASI NA TUSAIDIANE KUFANIKISHA FURAHA HII KWA WATU HAWA.

2 comments:

Anonymous said...

mbona kimya sana?blog yako ilianza na mambo mazuri lakini naona kimya au umekufa nini?nimeipata blog title yako baada ya kumtembelea mwaipaja nikakuta title nzuri ya "mapambano" lakini ningependa kukushauri yafuatayo
1. jaribu pia kuweka picha zinazoendana na harakati zako katika mapambano dhidi ya ukimwi.
2. tunahitaji kupata taarifa mbalimbali kuhusiana na harakati zako ili tujue jinsi gani ya kuweza kusaidiana kwa pamoja katika mapambano yako
3. akina michuzi, mjengwa, mwaipaja, ndesanjo na wanablog wengine kama hawa ambao wanatembelewa na watu mbalimbali kupitia blog zao wanaweza kuyatangaza vyema mapambano yako hivyo ni vyema ukawasiliana nao ili ikiwezekana upate matukio mbalimbali katika picha pamoja na kupeana uzoefu katika nyanja hii muhimu ya kupashana habari,
4. najua kuna faida kubwa ambazo wanablog mashuhuri kama akina michuzi na akina mwaipaja au majid mjengwa wanazipata kupitia blog zao ikiwemo kufahamiana na watu mbalimbali mabao naamini kupitia hao inakuwa rahisi kutengeza profile inayoeleweka hivyo tungependa kuona kasi yako inakuwa kubwa ili kukabiliana na ushindani wa kimvuto katika ulimwengu wa magazeti tando yaani Blogs,
natagemea kuona mabadiliko makubwa katika blog yako
its me Rizla, mtanzania niliyeko masomoni- Namibia nikichukua degree ya IT

Anonymous said...

HERI YA CRISMASS MWANABLOG IDYA