Napenda kuwataarifu kuwa nilikuwepo kimya kidogo kuwaleteeni mambo haya ya kitaalamu kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu. Napenda kuwaambieni kuwa sasa nimerudi na nitaendelea kuielimisha jamii kuhusiana na haki za binadamu kwa watu waishio na UKIMWI. ASANTENI SANA.
No comments:
Post a Comment