KUKUZA HAKI ZA BINADAMU
Tangu Baraza kuu lilipokubali. Haki za Binadamu Ulimwenguni miaka 1948, Umoja Wa
Mataifa umesaidia kufanya mikataba ya haki za kisiasa, kiraia, kiuchumi, kijamii na
kitamaduni, kuwa sheria shirika la UN la Haki za binadamu limefanya uchunguzi wa
malalamiko ya kibinafsi ya kesi ya mateso ulimwenguni, Kupotea na kuwekwa kizuizini
bila sababu na kufaulu kuhimiza serikali ulimenguni kuimarisha na kuboresha rekodi zao
za Haki za kibinadamu.
No comments:
Post a Comment