Mtu yeyoye atakayekiuka sheria na
kufanya vitendo vya kibaguzi au unyanyapaa kama
vilivyokatazwa na sheria atakuwa amefanya kosa
kwa mujibu wa kifungu cha 32 cha sheria hii na
akipatikana na hatia atatozwa faini isiyopungua
shilingi za Tanzania milioni mbili au kifungo kisichozidi
mwaka mmoja au vyote kwa pamoja.
No comments:
Post a Comment