KWA UJUMLA WETU WANAFUNZI WA CHUO KIKUU MZUMBE MBEYA KAMPASI TUNASHUKURU SANA KWA KUANDAA WARSHA YA KIMATAIFA YA KUWASHA MISHUMAA KUWAKUMBUKA WALIO KUFA KWA UKIMWI. NINAO MSIMAMO WANGU JUU YA KUPAMBANA NA UKIMWI NA AMBAO NINGEPENDA KUWAALIKA WANAMAPAMBANO WENZANGU KUSHIRIKIANA NA MIMI KATIKA MAPAMBANO HAYA. KWANZA NAIMANI KIJANA NDIE ANAEWEZA KULETA MABADILIKO YA KWELI, LAKINI PIA NAIMANI KWAMBA MAPAMBANO YA KWELI DHIDI YA UGONJWA HUU HATARI HAYATAFANIKIWA IKIWA HAKI ZA BINADAMU HAZISHIMIWI NA KULINDWA KWA WATU WAISHIO NA UKIMWI. HIVYO BASI NAPENDA KUTOA WITO WANGU KWENU WADAU TUSHIRIKIANE KUTOA UFAHAMU JUU YA HAKI ZA BINADAMU JUU YA UGONJWA HUU HASA VIJIJINI AMBAKO UVUNJWAJI UPO JUU SANA. SWALA LA UKIMWI SIO TU LA KIAFYA ILA LINAHITA PIA KUWEPO NA UTAYARI NA UFAHAMU PIA LIHUSISHWE NA HARAKATI ZA HAKI ZA BINADAMU.
SPW-TUPO PAMOJA NA TUTASHIRIKIANA KATIKA KUTOA ELIMU HII YA HAKI ZA BINADAMU KWA WAISHIO NA UKIMWI.
ASANTENI.........................................................................
No comments:
Post a Comment